Zaburi 123:1
Psalms 123:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninayainua macho yangu kwako, kwako wewe ambaye kiti chako cha enzi kiko mbinguni.
Psalms 123:1 in English
Psalms 123:1 · Berean Standard Bible
I lift up my eyes to You, the One enthroned in heaven.
Context
1Ninayainua macho yangu kwako,
kwako wewe ambaye kiti chako cha enzi kiko mbinguni. 2Kama vile macho ya watumwa
yatazamavyo mkono wa bwana wao,
kama vile macho ya mtumishi wa kike
yatazamavyo mkono wa bibi yake,
ndivyo macho yetu yamtazamavyo Bwana Mungu wetu,
mpaka atakapotuhurumia. 3Uturehemu, Ee Bwana, uturehemu,
kwa maana tumevumilia dharau nyingi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.