Zaburi 114:3
Psalms 114:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bahari ilitazama ikakimbia, Yordani ulirudi nyuma,
Psalms 114:3 in English
Psalms 114:3 · Berean Standard Bible
The sea observed and fled; the Jordan turned back;
Context
1Wakati Israeli walipotoka Misri,
nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni, 2Yuda alifanywa makao matakatifu ya Mungu,
Israeli akawa milki yake. 3Bahari ilitazama ikakimbia,
Yordani ulirudi nyuma, 4milima ilirukaruka kama kondoo dume,
vilima kama wana-kondoo. 5Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia,
nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.