Native Bible

Psalms 114:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yuda alifanywa makao matakatifu ya Mungu, Israeli akawa milki yake.

Psalms 114:2 in English

Psalms 114:2 · Berean Standard Bible

Judah became God’s sanctuary, and Israel His dominion.

Context

1Wakati Israeli walipotoka Misri, nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni, 2Yuda alifanywa makao matakatifu ya Mungu, Israeli akawa milki yake. 3Bahari ilitazama ikakimbia, Yordani ulirudi nyuma, 4milima ilirukaruka kama kondoo dume, vilima kama wana-kondoo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.