Native Bible

Psalms 113:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Humjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake, akiwa mama watoto mwenye furaha. Msifuni Bwana.

Psalms 113:9 in English

Psalms 113:9 · Berean Standard Bible

He settles the barren woman in her home as a joyful mother to her children. Hallelujah!

Context

7Huwainua maskini kutoka mavumbini, na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala, 8huwaketisha pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake. 9Humjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake, akiwa mama watoto mwenye furaha. Msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.