Zaburi 110:6
Psalms 110:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Atawahukumu mataifa, akilundika mizoga na kuwaponda watawala wa dunia nzima.
Psalms 110:6 in English
Psalms 110:6 · Berean Standard Bible
He will judge the nations, heaping up the dead; He will crush the leaders far and wide.
Context
4Bwana ameapa,
naye hatabadilisha mawazo yake:
“Wewe ni kuhani milele,
kwa mfano wa Melkizedeki.” 5Bwana yuko mkono wako wa kuume,
atawaponda wafalme siku ya ghadhabu yake. 6Atawahukumu mataifa, akilundika mizoga
na kuwaponda watawala wa dunia nzima. 7Atakunywa maji katika kijito kando ya njia,*
kwa hiyo atainua kichwa chake juu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.