Native Bible

Psalms 110:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana ameapa, naye hatabadilisha mawazo yake: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”

Psalms 110:4 in English

Psalms 110:4 · Berean Standard Bible

The LORD has sworn and will not change His mind: “You are a priest forever in the order of Melchizedek.”*

Context

2Bwana ataeneza fimbo yako ya utawala yenye nguvu kutoka Sayuni; utatawala katikati ya adui zako. 3Askari wako watajitolea kwa hiari katika siku yako ya vita. Ukiwa umevikwa fahari takatifu, kutoka tumbo la mapambazuko utapokea umande wa ujana wako.* 4Bwana ameapa, naye hatabadilisha mawazo yake: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.” 5Bwana yuko mkono wako wa kuume, atawaponda wafalme siku ya ghadhabu yake. 6Atawahukumu mataifa, akilundika mizoga na kuwaponda watawala wa dunia nzima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.