Native Bible

Psalms 110:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Atakunywa maji katika kijito kando ya njia,* kwa hiyo atainua kichwa chake juu.

Psalms 110:7 in English

Psalms 110:7 · Berean Standard Bible

He will drink from the brook by the road; therefore He will lift up His head.

Context

5Bwana yuko mkono wako wa kuume, atawaponda wafalme siku ya ghadhabu yake. 6Atawahukumu mataifa, akilundika mizoga na kuwaponda watawala wa dunia nzima. 7Atakunywa maji katika kijito kando ya njia,* kwa hiyo atainua kichwa chake juu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.