Zaburi 108:11
Psalms 108:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu, si ni wewe uliyetukataa sisi, na hutoki tena na majeshi yetu?
Psalms 108:11 in English
Psalms 108:11 · Berean Standard Bible
Have You not rejected us, O God? Will You no longer march out, O God, with our armies?
Context
9Moabu ni sinia langu la kunawia,
juu ya Edomu natupa kiatu changu;
nashangilia kwa kushindwa kwa Ufilisti.” 10Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye ngome?
Ni nani atakayeniongoza hadi nifike Edomu? 11Ee Mungu, si ni wewe uliyetukataa sisi,
na hutoki tena na majeshi yetu? 12Tuletee msaada dhidi ya adui,
kwa maana msaada wa mwanadamu haufai kitu. 13Kwa msaada wa Mungu tutapata ushindi,
naye atawaponda adui zetu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.