Zaburi 108:12
Psalms 108:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tuletee msaada dhidi ya adui, kwa maana msaada wa mwanadamu haufai kitu.
Psalms 108:12 in English
Psalms 108:12 · Berean Standard Bible
Give us aid against the enemy, for the help of man is worthless.
Context
10Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye ngome?
Ni nani atakayeniongoza hadi nifike Edomu? 11Ee Mungu, si ni wewe uliyetukataa sisi,
na hutoki tena na majeshi yetu? 12Tuletee msaada dhidi ya adui,
kwa maana msaada wa mwanadamu haufai kitu. 13Kwa msaada wa Mungu tutapata ushindi,
naye atawaponda adui zetu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.