Native Bible

Psalms 104:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kwa kukemea kwako maji yalikimbia, kwa sauti ya radi yako yakatoroka,

Psalms 104:7 in English

Psalms 104:7 · Berean Standard Bible

At Your rebuke the waters fled; at the sound of Your thunder they hurried away—

Context

5Ameiweka dunia kwenye misingi yake, haiwezi kamwe kuondoshwa. 6Uliifunika kwa kilindi kama kwa vazi, maji yalisimama juu ya milima. 7Lakini kwa kukemea kwako maji yalikimbia, kwa sauti ya radi yako yakatoroka, 8yakapanda milima, yakateremka mabondeni, hadi mahali pale ulipoyakusudia. 9Uliyawekea mpaka ambao hayawezi kuuvuka, kamwe hayataifunika dunia tena.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.