Zaburi 104:6
Psalms 104:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Uliifunika kwa kilindi kama kwa vazi, maji yalisimama juu ya milima.
Psalms 104:6 in English
Psalms 104:6 · Berean Standard Bible
You covered it with the deep like a garment; the waters stood above the mountains.
Context
4Huzifanya pepo kuwa wajumbe* wake,
miali ya moto watumishi wake. 5Ameiweka dunia kwenye misingi yake,
haiwezi kamwe kuondoshwa. 6Uliifunika kwa kilindi kama kwa vazi,
maji yalisimama juu ya milima. 7Lakini kwa kukemea kwako maji yalikimbia,
kwa sauti ya radi yako yakatoroka, 8yakapanda milima, yakateremka mabondeni,
hadi mahali pale ulipoyakusudia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.