Native Bible

Psalms 104:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pale kuna bahari, kubwa na yenye nafasi tele, imejaa viumbe visivyo na idadi, vitu vyenye uhai vikubwa na vidogo.

Psalms 104:25 in English

Psalms 104:25 · Berean Standard Bible

Here is the sea, vast and wide, teeming with creatures beyond number, living things both great and small.

Context

23Kisha mwanadamu huenda kazini mwake, katika kazi yake mpaka jioni. 24Ee Bwana, jinsi matendo yako yalivyo mengi! Kwa hekima ulizifanya zote, dunia imejaa viumbe vyako. 25Pale kuna bahari, kubwa na yenye nafasi tele, imejaa viumbe visivyo na idadi, vitu vyenye uhai vikubwa na vidogo. 26Huko meli huenda na kurudi, pia Lewiathani,* uliyemuumba acheze ndani yake. 27Hawa wote wanakutazamia wewe, uwape chakula chao kwa wakati wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.