Native Bible

Psalms 101:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, ili waweze kuishi pamoja nami; yeye ambaye moyo wake hauna lawama atanitumikia.

Psalms 101:6 in English

Psalms 101:6 · Berean Standard Bible

My eyes favor the faithful of the land, that they may dwell with me; he who walks in the way of integrity shall minister to me.

Context

4Moyo wa ukaidi utakuwa mbali nami; nitajitenga na kila ubaya. 5Kila amsingiziaye jirani yake kwa siri, huyo nitamnyamazisha; mwenye macho ya dharau na moyo wa kiburi huyo sitamvumilia. 6Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, ili waweze kuishi pamoja nami; yeye ambaye moyo wake hauna lawama atanitumikia. 7Mdanganyifu hatakaa nyumbani mwangu, yeye asemaye kwa uongo hatasimama mbele yangu. 8Kila asubuhi nitawanyamazisha waovu wote katika nchi; nitamkatilia mbali kila mtenda mabaya kutoka mji wa Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.