Zaburi 100:5
Psalms 100:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana Bwana ni mwema na upendo wake wadumu milele; uaminifu wake unadumu kwa vizazi vyote.
Psalms 100:5 in English
Psalms 100:5 · Berean Standard Bible
For the LORD is good, and His loving devotion endures forever; His faithfulness continues to all generations.
Context
3Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu.
Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake;
sisi tu watu wake,
kondoo wa malisho yake. 4Ingieni malangoni mwake kwa shukrani
na katika nyua zake kwa kusifu,
mshukuruni yeye na kulisifu jina lake. 5Kwa maana Bwana ni mwema
na upendo wake wadumu milele;
uaminifu wake unadumu kwa vizazi vyote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.