Zaburi 10:2
Psalms 10:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika kiburi chake, mwovu humtesa maskini, waovu na wanaswe katika hila wanazozitunga.
Psalms 10:2 in English
Psalms 10:2 · Berean Standard Bible
In pride the wicked pursue the needy; let them be caught in the schemes they devise.
Context
1Kwa nini, Ee Bwana, unasimama mbali?
Kwa nini unajificha wakati wa shida? 2Katika kiburi chake, mwovu humtesa maskini,
waovu na wanaswe katika hila wanazozitunga. 3Hujivunia tamaa za moyo wake;
humbariki mlafi na kumtukana Bwana. 4Katika kiburi chake, mwovu hamtafuti Mungu,
katika mawazo yake yote
hakuna nafasi ya Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.