Native Bible

Psalms 10:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa nini, Ee Bwana, unasimama mbali? Kwa nini unajificha wakati wa shida?

Psalms 10:1 in English

Psalms 10:1 · Berean Standard Bible

Why, O LORD, do You stand far off? Why do You hide in times of trouble?

Context

1Kwa nini, Ee Bwana, unasimama mbali? Kwa nini unajificha wakati wa shida? 2Katika kiburi chake, mwovu humtesa maskini, waovu na wanaswe katika hila wanazozitunga. 3Hujivunia tamaa za moyo wake; humbariki mlafi na kumtukana Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.