Native Bible

Proverbs 7:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwenye dirisha la nyumba yangu nilitazama nje kupitia upenyo kwenye mwimo wa dirisha.

Proverbs 7:6 in English

Proverbs 7:6 · Berean Standard Bible

For at the window of my house I looked through the lattice.

Context

4Mwambie hekima, “Wewe ni dada yangu,” uite ufahamu jamaa yako; 5watakuepusha na mwanamke mzinzi, kutokana na mwanamke mpotovu na maneno yake ya kubembeleza. 6Kwenye dirisha la nyumba yangu nilitazama nje kupitia upenyo kwenye mwimo wa dirisha. 7Niliona miongoni mwa wajinga, nikagundua miongoni mwa wanaume vijana, kijana asiye na akili. 8Alikuwa akishuka njiani karibu na pembe ya kwake, akielekea kwenye nyumba ya huyo mwanamke

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.