Native Bible

Proverbs 7:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha; alimshawishi kwa maneno yake laini.

Proverbs 7:21 in English

Proverbs 7:21 · Berean Standard Bible

With her great persuasion she entices him; with her flattering lips she lures him.

Context

19Mume wangu hayupo nyumbani; amekwenda safari ya mbali. 20Amechukua mkoba uliojazwa fedha na hatakuwepo nyumbani karibuni.” 21Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha; alimshawishi kwa maneno yake laini. 22Mara huyo kijana alimfuata yule mwanamke kama fahali aendaye machinjoni, kama kulungu aingiaye kwenye kitanzi, 23mpaka mshale umchome ini lake, kama ndege anayenaswa kwenye mtego, bila kujua itamgharimu maisha yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.