Mithali 7:20
Proverbs 7:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amechukua mkoba uliojazwa fedha na hatakuwepo nyumbani karibuni.”
Proverbs 7:20 in English
Proverbs 7:20 · Berean Standard Bible
He took with him a bag of money and will not return till the moon is full.”
Context
18Njoo, tuzame katika mapenzi mpaka asubuhi;
tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi! 19Mume wangu hayupo nyumbani;
amekwenda safari ya mbali. 20Amechukua mkoba uliojazwa fedha
na hatakuwepo nyumbani karibuni.” 21Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha;
alimshawishi kwa maneno yake laini. 22Mara huyo kijana alimfuata yule mwanamke
kama fahali aendaye machinjoni,
kama kulungu aingiaye kwenye kitanzi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.