Native Bible

Proverbs 6:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

basi fanya hivi mwanangu, ili ujiweke huru, kwa kuwa umeanguka mikononi mwa jirani yako: Nenda ukajinyenyekeshe kwake; msihi jirani yako!

Proverbs 6:3 in English

Proverbs 6:3 · Berean Standard Bible

then do this, my son, to free yourself, for you have fallen into your neighbor’s hands: Go, humble yourself,* and press your plea with your neighbor.

Context

1Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa jirani yako, ikiwa umeshika mikono kwa kuweka ahadi kwa ajili ya mwingine, 2kama umetegwa na ulichosema, umenaswa kwa maneno ya kinywa chako, 3basi fanya hivi mwanangu, ili ujiweke huru, kwa kuwa umeanguka mikononi mwa jirani yako: Nenda ukajinyenyekeshe kwake; msihi jirani yako! 4Usiruhusu usingizi machoni pako, usiruhusu kope zako zisinzie. 5Jiweke huru, kama swala mkononi mwa mwindaji, kama ndege kutoka kwenye mtego wa mwindaji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.