Mithali 6:1
Proverbs 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa jirani yako, ikiwa umeshika mikono kwa kuweka ahadi kwa ajili ya mwingine,
Proverbs 6:1 in English
Proverbs 6:1 · Berean Standard Bible
My son, if you have put up security for your neighbor, if you have struck hands in pledge with a stranger,
Context
1Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa jirani yako,
ikiwa umeshika mikono kwa kuweka ahadi
kwa ajili ya mwingine, 2kama umetegwa na ulichosema,
umenaswa kwa maneno ya kinywa chako, 3basi fanya hivi mwanangu, ili ujiweke huru,
kwa kuwa umeanguka mikononi mwa jirani yako:
Nenda ukajinyenyekeshe kwake;
msihi jirani yako!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.