Native Bible

Proverbs 6:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula; ataangamizwa mara, pasipo msaada.

Proverbs 6:15 in English

Proverbs 6:15 · Berean Standard Bible

Therefore calamity will come upon him suddenly; in an instant he will be shattered beyond recovery.

Context

13ambaye anakonyeza kwa jicho lake, anayetoa ishara kwa miguu yake na kuashiria kwa vidole vyake, 14ambaye hupanga ubaya kwa udanganyifu moyoni mwake: daima huchochea fitina. 15Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula; ataangamizwa mara, pasipo msaada. 16Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake: 17macho ya kiburi, ulimi udanganyao, mikono imwagayo damu isiyo na hatia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.