Native Bible

Proverbs 6:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ambaye anakonyeza kwa jicho lake, anayetoa ishara kwa miguu yake na kuashiria kwa vidole vyake,

Proverbs 6:13 in English

Proverbs 6:13 · Berean Standard Bible

winking his eyes, speaking with his feet, and pointing with his fingers.

Context

11hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha. 12Mtu mbaya sana na mlaghai, ambaye huzungukazunguka na maneno ya upotovu, 13ambaye anakonyeza kwa jicho lake, anayetoa ishara kwa miguu yake na kuashiria kwa vidole vyake, 14ambaye hupanga ubaya kwa udanganyifu moyoni mwake: daima huchochea fitina. 15Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula; ataangamizwa mara, pasipo msaada.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.