Mithali 6:14
Proverbs 6:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ambaye hupanga ubaya kwa udanganyifu moyoni mwake: daima huchochea fitina.
Proverbs 6:14 in English
Proverbs 6:14 · Berean Standard Bible
With deceit in his heart he devises evil; he continually sows discord.
Context
12Mtu mbaya sana na mlaghai,
ambaye huzungukazunguka
na maneno ya upotovu, 13ambaye anakonyeza kwa jicho lake,
anayetoa ishara kwa miguu yake
na kuashiria kwa vidole vyake, 14ambaye hupanga ubaya
kwa udanganyifu moyoni mwake:
daima huchochea fitina. 15Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula;
ataangamizwa mara, pasipo msaada. 16Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana,
naam, viko saba vilivyo chukizo kwake:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.