Native Bible

Proverbs 29:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuwaogopa watu huwa ni mtego, bali yeyote amtumainiaye Bwana atakuwa salama.

Proverbs 29:25 in English

Proverbs 29:25 · Berean Standard Bible

The fear of man is a snare, but whoever trusts in the LORD is set securely on high.

Context

23Kiburi cha mtu humshusha, bali mtu mwenye roho ya unyenyekevu hupata heshima. 24Anayekubaliana na mwizi ni adui wa nafsi yake mwenyewe; huapishwa lakini hathubutu kushuhudia. 25Kuwaogopa watu huwa ni mtego, bali yeyote amtumainiaye Bwana atakuwa salama. 26Wengi hutafuta kusikilizwa na mtawala, bali mtu hupata haki kutoka kwa Bwana. 27Mwenye haki huwachukia sana wasio waaminifu; waovu huwachukia sana wenye haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.