Native Bible

Proverbs 29:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwenye haki huwachukia sana wasio waaminifu; waovu huwachukia sana wenye haki.

Proverbs 29:27 in English

Proverbs 29:27 · Berean Standard Bible

An unjust man is detestable to the righteous, and one whose way is upright is detestable to the wicked.

Context

25Kuwaogopa watu huwa ni mtego, bali yeyote amtumainiaye Bwana atakuwa salama. 26Wengi hutafuta kusikilizwa na mtawala, bali mtu hupata haki kutoka kwa Bwana. 27Mwenye haki huwachukia sana wasio waaminifu; waovu huwachukia sana wenye haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.