Mithali 29:23
Proverbs 29:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kiburi cha mtu humshusha, bali mtu mwenye roho ya unyenyekevu hupata heshima.
Proverbs 29:23 in English
Proverbs 29:23 · Berean Standard Bible
A man’s pride will bring him low, but a humble spirit will obtain honor.
Context
21Kama mtu akimdekeza mtumishi wake tangu ujanani,
atamletea sikitiko mwishoni. 22Mtu mwenye hasira huchochea ugomvi,
naye mtu mwenye hasira ya haraka
hutenda dhambi nyingi. 23Kiburi cha mtu humshusha,
bali mtu mwenye roho ya unyenyekevu
hupata heshima. 24Anayekubaliana na mwizi ni adui wa nafsi yake mwenyewe;
huapishwa lakini hathubutu kushuhudia. 25Kuwaogopa watu huwa ni mtego,
bali yeyote amtumainiaye Bwana atakuwa salama.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.