Native Bible

Proverbs 27:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati majani makavu yameondolewa na mapya yamechipua, nayo majani toka milimani yamekusanywa,

Proverbs 27:25 in English

Proverbs 27:25 · Berean Standard Bible

When hay is removed and new growth appears and the grain from the hills is gathered,

Context

23Hakikisha kuwa unajua hali ya makundi yako ya kondoo na mbuzi, angalia kwa bidii ngʼombe zako. 24Kwa kuwa utajiri haudumu milele, nayo taji haidumu vizazi vyote. 25Wakati majani makavu yameondolewa na mapya yamechipua, nayo majani toka milimani yamekusanywa, 26wana-kondoo watakupatia mavazi na mbuzi thamani ya shamba. 27Utakuwa na maziwa mengi ya mbuzi kukulisha wewe na jamaa yako, na kuwalisha watumishi wako wa kike.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.