Mithali 27:26
Proverbs 27:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wana-kondoo watakupatia mavazi na mbuzi thamani ya shamba.
Proverbs 27:26 in English
Proverbs 27:26 · Berean Standard Bible
the lambs will provide you with clothing, and the goats with the price of a field.
Context
24Kwa kuwa utajiri haudumu milele,
nayo taji haidumu vizazi vyote. 25Wakati majani makavu yameondolewa
na mapya yamechipua,
nayo majani toka milimani yamekusanywa, 26wana-kondoo watakupatia mavazi
na mbuzi thamani ya shamba. 27Utakuwa na maziwa mengi ya mbuzi
kukulisha wewe na jamaa yako,
na kuwalisha watumishi wako wa kike.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.