Native Bible

Proverbs 27:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele nayo ikamtesa.

Proverbs 27:12 in English

Proverbs 27:12 · Berean Standard Bible

The prudent see danger and take cover; but the simple keep going and pay the penalty.

Context

10Usimwache rafiki yako wala rafiki wa baba yako, tena usiende nyumbani mwa ndugu yako wakati umepatwa na maafa. Bora jirani wa karibu kuliko ndugu aliye mbali. 11Mwanangu, uwe na hekima, nawe ulete furaha moyoni mwangu, ndipo nitakapoweza kumjibu yeyote anitendaye kwa dharau. 12Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele nayo ikamtesa. 13Chukua vazi la yule awekaye dhamana kwa ajili ya mgeni; lishikilie iwe dhamana kama anafanya hivyo kwa ajili ya mwanamke mpotovu. 14Kama mtu akimbariki jirani yake kwa sauti kuu asubuhi na mapema, itahesabiwa kama ni laana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.