Native Bible

Proverbs 25:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Si vyema kula asali nyingi sana, wala si heshima kujitafutia heshima yako mwenyewe.

Proverbs 25:27 in English

Proverbs 25:27 · Berean Standard Bible

It is not good to eat too much honey or to search out one’s own glory.

Context

25Kama vile maji baridi kwa nafsi iliyochoka ndivyo zilivyo habari njema kutoka nchi ya mbali. 26Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope au kisima kilichotiwa taka ndivyo alivyo mtu mwenye haki akishiriki na waovu. 27Si vyema kula asali nyingi sana, wala si heshima kujitafutia heshima yako mwenyewe. 28Kama vile mji ambao kuta zake zimebomoka ndivyo alivyo mtu ambaye hawezi kujitawala mwenyewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.