Mithali 25:26
Proverbs 25:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope au kisima kilichotiwa taka ndivyo alivyo mtu mwenye haki akishiriki na waovu.
Proverbs 25:26 in English
Proverbs 25:26 · Berean Standard Bible
Like a muddied spring or a polluted well is a righteous man who gives way to the wicked.
Context
24Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba,
kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. 25Kama vile maji baridi kwa nafsi iliyochoka
ndivyo zilivyo habari njema kutoka nchi ya mbali. 26Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope au
kisima kilichotiwa taka
ndivyo alivyo mtu mwenye haki
akishiriki na waovu. 27Si vyema kula asali nyingi sana,
wala si heshima
kujitafutia heshima yako mwenyewe. 28Kama vile mji ambao kuta zake zimebomoka
ndivyo alivyo mtu
ambaye hawezi kujitawala mwenyewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.