Native Bible

Proverbs 25:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo, bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo.

Proverbs 25:2 in English

Proverbs 25:2 · Berean Standard Bible

It is the glory of God to conceal a matter and the glory of kings to search it out.

Context

1Hizi ni mithali zaidi za Solomoni, zilizonakiliwa na watu wa Hezekia mfalme wa Yuda: 2Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo, bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo. 3Kama mbingu zilivyo juu na nchi ilivyo chini, ndivyo ambavyo mioyo ya wafalme haichunguziki. 4Ondoa takataka kwenye madini ya fedha, nako ndani yake kutatokea chombo cha mfua fedha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.