Mithali 25:4
Proverbs 25:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ondoa takataka kwenye madini ya fedha, nako ndani yake kutatokea chombo cha mfua fedha.
Proverbs 25:4 in English
Proverbs 25:4 · Berean Standard Bible
Remove the dross from the silver, and a vessel for a silversmith will come forth.
Context
2Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo,
bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo. 3Kama mbingu zilivyo juu na nchi ilivyo chini,
ndivyo ambavyo mioyo ya wafalme haichunguziki. 4Ondoa takataka kwenye madini ya fedha,
nako ndani yake kutatokea chombo
cha mfua fedha. 5Ondoa waovu mbele ya mfalme,
nacho kiti chake cha enzi
kitaimarishwa kwa njia ya haki. 6Usijikweze mwenyewe mbele ya mfalme,
wala usidai nafasi miongoni mwa watu wakuu;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.