Native Bible

Proverbs 20:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; yeye amkasirishaye hupoteza uhai wake.

Proverbs 20:2 in English

Proverbs 20:2 · Berean Standard Bible

The terror of a king is like the roar of a lion; whoever provokes him forfeits his own life.*

Context

1Mvinyo ni mdhihaki na kileo ni mgomvi; yeyote apotoshwaye navyo hana hekima. 2Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; yeye amkasirishaye hupoteza uhai wake. 3Ni kwa heshima ya mtu kujitenga ugomvi, bali kila mpumbavu ni mwepesi kugombana. 4Mvivu halimi kwa majira; kwa hiyo wakati wa mavuno hutazama lakini hapati chochote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.