Native Bible

Proverbs 18:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuridhika kuliko mji uliozungushiwa ngome, nayo mabishano ni kama malango ya ngome yenye makomeo.

Proverbs 18:19 in English

Proverbs 18:19 · Berean Standard Bible

An offended brother is harder to win than a fortified city, and disputes are like the bars of a castle.

Context

17Yeye aliye wa kwanza kuleta mashtaka huonekana sahihi, hadi mwingine ajitokezapo na kumuuliza maswali. 18Kupiga kura hukomesha mashindano na kutenganisha wapinzani wakuu wanaopingana. 19Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuridhika kuliko mji uliozungushiwa ngome, nayo mabishano ni kama malango ya ngome yenye makomeo. 20Tumbo la mtu litajaa kutokana na tunda la kinywa chake, atashibishwa mavuno yanayotokana na midomo yake. 21Mauti na uzima viko katika uwezo wa ulimi, nao waupendao watakula matunda yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.