Native Bible

Proverbs 15:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Upumbavu humfurahisha mtu ambaye hana akili, bali mtu mwenye ufahamu hushika njia iliyonyooka.

Proverbs 15:21 in English

Proverbs 15:21 · Berean Standard Bible

Folly is joy to one who lacks judgment, but a man of understanding walks a straight path.

Context

19Njia ya mvivu imezibwa na miiba, bali njia ya mwenye haki ni barabara kuu. 20Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, bali mtu mpumbavu humdharau mama yake. 21Upumbavu humfurahisha mtu ambaye hana akili, bali mtu mwenye ufahamu hushika njia iliyonyooka. 22Mipango hushindwa kufanikiwa kwa ajili ya kukosa ushauri, bali kukiwa na washauri wengi hufanikiwa. 23Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.