Native Bible

Proverbs 12:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika njia ya haki kuna uzima; katika mapito hayo kuna maisha ya milele.

Proverbs 12:28 in English

Proverbs 12:28 · Berean Standard Bible

There is life in the path of righteousness, but another path leads to death.

Context

26Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki, bali njia ya waovu huwapotosha. 27Mtu mvivu haoki mawindo yake, bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani. 28Katika njia ya haki kuna uzima; katika mapito hayo kuna maisha ya milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.