Native Bible

Proverbs 12:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki, bali njia ya waovu huwapotosha.

Proverbs 12:26 in English

Proverbs 12:26 · Berean Standard Bible

A righteous man is cautious in friendship, but the ways of the wicked lead them astray.

Context

24Mikono yenye bidii itatawala, bali uvivu huishia katika kazi za utumwa. 25Moyo wa wasiwasi humlemea mtu, bali neno la huruma humfurahisha. 26Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki, bali njia ya waovu huwapotosha. 27Mtu mvivu haoki mawindo yake, bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani. 28Katika njia ya haki kuna uzima; katika mapito hayo kuna maisha ya milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.