Mithali 12:24
Proverbs 12:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mikono yenye bidii itatawala, bali uvivu huishia katika kazi za utumwa.
Proverbs 12:24 in English
Proverbs 12:24 · Berean Standard Bible
The hand of the diligent will rule, but laziness ends in forced labor.
Context
22Bwana anachukia sana midomo idanganyayo,
bali hufurahia watu ambao ni wa kweli. 23Mtu mwenye busara hujihifadhia maarifa yeye mwenyewe,
bali moyo wa wapumbavu hububujika upumbavu. 24Mikono yenye bidii itatawala,
bali uvivu huishia katika kazi za utumwa. 25Moyo wa wasiwasi humlemea mtu,
bali neno la huruma humfurahisha. 26Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki,
bali njia ya waovu huwapotosha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.