Native Bible

Proverbs 11:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama wenye haki watapokea ujira wao duniani, si zaidi sana yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi?

Proverbs 11:31 in English

Proverbs 11:31 · Berean Standard Bible

If the righteous receive their due on earth, how much more the ungodly and the sinner!*

Context

29Yeye aletaye taabu kwa jamaa yake atarithi tu upepo, naye mpumbavu atakuwa mtumishi wa wenye hekima. 30Tunda la mwenye haki ni mti wa uzima, naye mwenye hekima huvuta roho za watu. 31Kama wenye haki watapokea ujira wao duniani, si zaidi sana yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.