Mithali 11:30
Proverbs 11:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tunda la mwenye haki ni mti wa uzima, naye mwenye hekima huvuta roho za watu.
Proverbs 11:30 in English
Proverbs 11:30 · Berean Standard Bible
The fruit of the righteous is a tree of life, and he who wins souls is wise.
Context
28Yeyote ategemeaye utajiri wake ataanguka,
bali mwenye haki atastawi kama jani bichi. 29Yeye aletaye taabu kwa jamaa yake atarithi tu upepo,
naye mpumbavu atakuwa mtumishi wa wenye hekima. 30Tunda la mwenye haki ni mti wa uzima,
naye mwenye hekima huvuta roho za watu. 31Kama wenye haki watapokea ujira wao duniani,
si zaidi sana yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.