Native Bible

Proverbs 10:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu.

Proverbs 10:21 in English

Proverbs 10:21 · Berean Standard Bible

The lips of the righteous feed many, but fools die for lack of judgment.

Context

19Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. 20Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. 21Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. 22Baraka ya Bwana hutajirisha, wala haichanganyi huzuni. 23Mpumbavu hufurahia tabia mbaya, lakini mtu mwenye ufahamu hupendezwa na hekima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.