Mithali 10:22
Proverbs 10:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baraka ya Bwana hutajirisha, wala haichanganyi huzuni.
Proverbs 10:22 in English
Proverbs 10:22 · Berean Standard Bible
The blessing of the LORD enriches, and He adds no sorrow to it.
Context
20Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora,
bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. 21Midomo ya mwenye haki hulisha wengi,
lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. 22Baraka ya Bwana hutajirisha,
wala haichanganyi huzuni. 23Mpumbavu hufurahia tabia mbaya,
lakini mtu mwenye ufahamu hupendezwa na hekima. 24Kile anachoogopa mwovu ndicho kitakachompata;
kile anachoonea shauku mwenye haki atapewa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.