Wafilipi 4:14
Philippians 4:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini, mlifanya vyema kushiriki nami katika taabu zangu.
Philippians 4:14 in English
Philippians 4:14 · Berean Standard Bible
Nevertheless, you have done well to share in my affliction.
Context
12Ninajua kupungukiwa, pia ninajua kuwa na vingi. Nimejifunza siri ya kuridhika katika kila hali, wakati wa kushiba na wakati wa kuona njaa, wakati wa kuwa na vingi na wakati wa kupungukiwa. 13Naweza kuyafanya mambo yote katika yeye anitiaye nguvu. 14Lakini, mlifanya vyema kushiriki nami katika taabu zangu. 15Zaidi ya hayo, ninyi Wafilipi mnajua kwamba siku za kwanza nilipoanza kuhubiri Injili, nilipoondoka Makedonia, hakuna kanisa jingine lililoshiriki nami katika masuala ya kutoa na kupokea isipokuwa ninyi. 16Kwa maana hata nilipokuwa huko Thesalonike, mliniletea msaada kwa ajili ya mahitaji yangu zaidi ya mara moja.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.