Wafilipi 2:5
Philippians 2:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kuweni na nia ile ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu:
Philippians 2:5 in English
Philippians 2:5 · Berean Standard Bible
Let this mind be in you which was also in Christ Jesus:
Context
3Msitende jambo lolote kwa nia ya kujitukuza wala kujivuna, bali kwa unyenyekevu kila mtu amhesabu mwingine bora kuliko nafsi yake. 4Kila mmoja wenu asiangalie faida yake mwenyewe tu, bali pia ajishughulishe kwa faida ya wengine. 5Kuweni na nia ile ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu: 6Yeye, ingawa alikuwa na asili ya Mungu hasa,
hakuona kule kuwa sawa na Mungu
kuwa kitu cha kushikilia, 7bali alijifanya si kitu,
akachukua hali hasa na mtumwa,
naye akazaliwa katika umbo la mwanadamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.