Native Bible

Philippians 2:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

bali alijifanya si kitu, akachukua hali hasa na mtumwa, naye akazaliwa katika umbo la mwanadamu.

Philippians 2:7 in English

Philippians 2:7 · Berean Standard Bible

but emptied Himself, taking the form of a servant, being made in human likeness.

Context

5Kuweni na nia ile ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu: 6Yeye, ingawa alikuwa na asili ya Mungu hasa, hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa kitu cha kushikilia, 7bali alijifanya si kitu, akachukua hali hasa na mtumwa, naye akazaliwa katika umbo la mwanadamu. 8Naye akiwa na umbo la mwanadamu, alijinyenyekeza, akatii hata mauti: naam, mauti ya msalaba! 9Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana, na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.