Hesabu 7:64
Numbers 7:64 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi;
Numbers 7:64 in English
Numbers 7:64 · Berean Standard Bible
one male goat for a sin offering;
Context
62sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; 63fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa; 64mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi; 65maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Abidani mwana wa Gideoni. 66Siku ya kumi Ahiezeri mwana wa Amishadai, kiongozi wa watu wa Dani, alileta sadaka yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.