Hesabu 7:62
Numbers 7:62 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba;
Numbers 7:62 in English
Numbers 7:62 · Berean Standard Bible
one gold dish weighing ten shekels, filled with incense;
Context
60Siku ya tisa Abidani mwana wa Gideoni, kiongozi wa watu wa Benyamini, alileta sadaka yake. 61Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka; 62sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; 63fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa; 64mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.