Hesabu 4:22
Numbers 4:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Wahesabu pia Wagershoni kwa jamaa zao na koo zao.
Numbers 4:22 in English
Numbers 4:22 · Berean Standard Bible
“Take a census of the Gershonites as well, by their families and clans,
Context
20Lakini Wakohathi hawaruhusiwi kuingia ndani ili kuangalia vitu vitakatifu, hata kwa kitambo kidogo, la sivyo watakufa.” 21Bwana akamwambia Mose, 22“Wahesabu pia Wagershoni kwa jamaa zao na koo zao. 23Wahesabu wanaume wote wenye umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao huja kutumika katika Hema la Kukutania. 24“Hii ndiyo huduma ya koo za Wagershoni wakati wanapofanya kazi na kubeba mizigo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.